Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Masomo ya Misa Feb 21
Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.
Masomo ya Misa Feb 18
Je! Mioyo yenu ni mizito? Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? Wala hamkumbuki? Nilipoivunja ile mikate mitano na kuwapa wale elfu tano, mlichukua vikapu vingapi vimejaa vipande?
Masomo ya Misa Februari 10
Na kila alikokwenda, aliingia vijijini, au mijini, au mashambani, wakawaweka wagonjwa sokoni, wakamsihi waguse ngaa pindo la vazi lake; nao wote waliomgusa wakapona.
Masomo ya Misa: Dominika ya 5 ya Mwaka
Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.
Masomo ya Misa Februari 8
Bwana wetu Yesu, awafanye ninyi kuwa wakamilifu katika kila tendo jema, mpate kuyafanya mapenzi yake; naye akifanya ndani yetu lipendezalo mbele zake, kwa Yesu Kristo; utukufu una yeye milele na milele. Amina.
Masomo ya Misa Februari 7
Upendano wa ndugu na udumu. Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua. Wakumbukeni hao waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao
Masomo ya Misa Alhamisi 6
akawapa amri juu ya pepo wachafu; Akawakataza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa fimbo tu; wala mkate, wala mkoba, wala pesa za bindoni; lakini wajifungie viatu, akasema, Msivae kanzu mbili.
Masomo ya Misa Februari 5
Yesu akawaambia, nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake mwenyewe, na kwa jamaa zake, na nyumbani mwake.
Masomo ya Misa Februari 4
JUMANNE: JUMA IV LA MWAKARANGI: KIJANIKUMBUKUMBU YA HIYARIZABURI: JUMA IV Mt. Gilbert, PadreKuzaliwa: Alizaliwa Sempringhan(Uingereza)Utume: Alisoma Ufaransa (Paris). Baada ya kurudi alianzisha shule ya watoto na watu maskini na kufundisha