CLARET CATHOLIC CENTER FROM Tsh 215000 Nunua Sasa TABERNACLE
ZA KISASA
KWA BEI NAFUU
KARIBU CLARET CATHOLIC CENTER Nunua sasa
SIBORIO
NA KALISI
KWA BEI NAFUU
KARIBU CLARET CATHOLIC CENTER Nunua sasa
KARIBU CLARET CATHOLIC CENTER PATA SANAMU
ZA WATAKATIFU
15% PUNGUZO
Nunua sasa

Masomo ya Misa

Masomo ya Misa

Masomo ya Misa Feb 22

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Masomo ya Misa

Masomo ya Misa Feb 21

Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.

Uncategorized

Masomo ya Misa Feb 20

Akawaonya wasimwambie mtu habari zake. Akaanza kuwafundisha kwamba imempasa Mwana wa Adamu kupatikana na mateso mengi, na kukataliwa na wazee, na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa na baada ya siku tatu kufufuka.