JUMATANO: JUMA IIRANGI: KIJANIKUMBUKUMBUMt. Yohana mtoa sadaka SOMO 1. Ebr 7:25 – 8:6 Yesu aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai siku zote ili awaombee. Maana
Januari 20
Jumamosi: Juma la II la MwakaRangi: KijaniMtakatifu: Mt. Fabiano, Papa na Mfiadini SOMO 1. Ebr 5:1-10 Kila kuhani mkuu aliyetwaliwa katika wanadamu amewekwa kwa ajili ya wanadamu katika mambo yamhusuyo
Domonika ya 2
DOMINIKA YA 2 YA MWAKARANGI: KIJANI SOMO 1. Isa. 62:1-5 Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, hata haki yake itakapotokea kama mwangaza, na wokovu wake
Januari 18
Jumamosi: Juma la I la MwakaRangi: KijaniMtakatifu: Mt. Margareta wa Hungaria, Mtawa SOMO 1. Ebr 4:12-16 Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao
Januari 17
Jumatano: Juma la I la MwakaRangi: NyeupeMtakatifu: Antoni wa Misri SOMO 1. Ebr 4:1-5, 11 Ikiwa ikaliko ahadi ya kuingia katika raha yake, na tuogope, mmoja wenu asije akaonekana ameikosa.
Januari 16
Jumatano: Juma la I la MwakaRangi: KijaniMtakatifu: Wat. Berardo, Petro Akursio, Ayuto na Otho, Wafiadini SOMO 1. Ebr 3:7-14 Roho Mtakatifu asema: Leo kama mtaisikia sauti yake, msifanye migumu mioyo
Januari 15
Jumatano: Juma la I la MwakaRangi: KijaniMtakatifu: Mt. Ida, Bikira SOMO 1. Ebr 2:14-18 Kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo, ili kwa