Masomo ya Misa
Soma masomo ya misa za kila siku na tafakari zake
Masomo ya Misa
Masomo ya Misa Dominika ya 24
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 15/09/2024 2024 SEPTEMBA 15: DOMINIKA YA 24 YA MWAKA Rangi: KijaniZaburi: Juma IVSOMO 1. Isa 50: 5-9 Bwana Mungu amenizibua sikio langu, wala sikuwa mkaidi, wala sikurudi nyuma. Naliwatolea wapigao mgongo wangu, na...
Masomo ya Misa – Kutukuka kwa Msalaba
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 14/09/2024 2024 SEPTEMBA 14: KUTUKUKA KWA MSALABA Rangi: NyekunduZaburi: Tazama Sala ya SikuSOMO 1. Hes 21:4-9 Siku zile jangwani, watu walimnung’unikia Mungu, na Musa, mbona mmetupandisha huku kutoka nchi ya Misri,...
Masomo ya Misa Septemba 13
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 13/09/2024 2024 SEPTEMBA 13: IJUMAA-JUMA LA 23 LA MWAKA Mt. Yohane Krisostomi, Askofu na Mwalimu wa KanisaRangi: KijaniZaburi: Juma 3SOMO 1. 1 Kor 9:16-19, 22b-27 Ijapokuwa naihubiri injili, sina la kujisifia, maana...
Masomo ya Misa Septemba 12
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 12/09/2024 2024 SEPTEMBA 12: ALHAMISI-JUMA LA 23 LA MWAKA Jina Takatifu la MariaRangi: KijaniZaburi: Juma 3SOMO 1. 1 Kor 8:1b-7, 11-13 Twajua ya kuwa sisi sote tuna ujuzi. Ujuzi huleta majivuno, bali upendo hujenga....
Masomo ya Misa Septemba 11
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 11/09/2024 2024 SEPTEMBA 11: JUMATANO-JUMA LA 23 LA MWAKA Mt. FelixRangi: KijaniZaburi: Juma 3SOMO 1. 1 Kor 7:25-31 Kwa habari za wanawali sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kwa rehema za...
Masomo ya Misa Septemba 10
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 10/09/2024 2024 SEPTEMBA 10: JUMANNE-JUMA LA 23 LA MWAKA Mt. Apollinari FrancoRangi: KijaniZaburi: Juma 3SOMO 1. 1 Kor 6:1-11 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana dawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki wala...
Inayofanana
Tupigie
Address
Kimara Mwisho, Dar es Salaam, Tanzania
clapubafrica01@gmail.com