Description
Shajara hii ni Mpango wa Kichungaji wa Waklareti ili kukuletea neno na Mungu karibu yako.
Sh11,500.00
CompareShajara hii ni Mpango wa Kichungaji wa Waklareti ili kukuletea neno na Mungu karibu yako.
Kwa Mwaka 2025, Shajara hii Imeandaliwa na wataalamu na Mapadre wazoefu katika Teolojia na Liturujia. Ina masomo ya misa ya kila siku, Tafakari yake, Simulizi ya mtakatifu wa siku pamoja na picha nzuri za kuvutia. Imeandaliwa kwa ufasha ili kumuwezesha kila mmoja kusoma bila shida yoyote.
Shajara hii ni Mpango wa Kichungaji wa Waklareti ili kukuletea neno na Mungu karibu yako.
Reviews
There are no reviews yet.