Select Page

SHAJARA za Tafakari Nasi 2024 (Toleo Pendwa)

Sh11,500

Soma Masomo ya Misa na Tafakari zake za kila siku kwa mwaka mzima wa 2024.

  • Bei ya Rejareja = Tshs 11,500
  • Bei ya Jumla (kuanzia box 1 la shajara 36) = Tshs 396,000 (=Tshs 11,000 each).

Description

Shajara za Tafakari Nasi kwa mwaka 2024. Ndani zina:

  • Masomo ya Misa kwa mwaka mzima
  • Masomo hayajakatwa, Yote yanapatikana sehemu moja
  • Tafakari nzuri za kila somo la kila siku kutoka kwa mapadre wabobezi
  • Mtakatifu wa siku
  • Sikukuu, Sherehe na Kumbukumbu mbalimbali za Kanisa
  • Rangi za Kiluturujia za kila siku kulingana na kipindi cha mwaka wa Kanisa