Select Page

Sanamu Kubwa ya Bikira Maria (120 cm)

Sh1,000,000

Description

Sanamu nzuri ya Bikira Maria akiwa kasimama juu ya joka kubwa (Ufunuo 12:1)

Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake! 2Alikuwa mjamzito, naye akapaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

Sanamu hii ina ukubwa wa futi 4 (=125 cm), huweza kukaa kwenye groto la Bikira Maria, kanisani, sehemu mbalimbali zenye ibada za kijumuiya za Bikira Maria.