Select Page

Picha ya moyo mtakatifu wa Yesu.

Sh300,000

Moyo Mtakatifu wa Yesu ni ibada iliyoenea sana katika Kanisa Katoliki ikielekea moyo wa Yesu Kristo hasa kama ishara ya upendo wake kwa binadamu.

Description

Moyo Mtakatifu wa Yesu ni ibada iliyoenea sana katika Kanisa Katoliki ikielekea moyo wa Yesu Kristo hasa kama ishara ya upendo wake kwa binadamu. Ibada hii inauona Moyo wa Kibinadamu wa Yesu kama mwakilishi wa Mapendo yake ya Kimungu kwa wanadamu na Kanisa nayo inaiona kama Mapendo na Huruma ya Yesu kwa wanadamu wote.

Sherehe yake huadhimishwa Ijumaa inayofuata Jumapili ya pili baada ya Pentekoste, kati ya tarehe 29 Mei na 2 Julai.