Select Page

Picha ya Bikira Maria wa Fatima

Picha kuwba ikimwonesha mama yetu Bikira Maria alipowatokea watoto wa Fatima (i.e., Lucia, Francis na Yasinta) na kuwahimiza wasali rozari kuiombea dunia ipate amani. Mwaka 1917.