Masomo ya Misa
Soma masomo ya misa za kila siku na tafakari zake
Masomo ya Misa
Masomo ya Misa Dominika ya 27
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 06/10/2024 2024 OKTOBA 6: DOMINIKA YA 27 YA MWAKA Rangi: KijaniZaburi: Juma IIISOMO 1. Mwa 2:18 – 24 Bwana Mungu alisema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanya msaidizi wa kufanana naye. Bwana Mungu akafanyiza...
Masomo ya Misa Oktoba 5
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 05/10/2024 2024 OKTOBA 5: JUMAMOSI-JUMA LA 26 LA MWAKA Mt. Faustina Kowalska, BikiraRangi: KijaniZaburi: Juma IISOMO 1. Ayu 42: 1-3, 5-6, 12-17 Ayubu alimjibu Bwana na kusema, najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote,...
Masomo ya Misa Oktoba 4
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 04/10/2024 2024 OKTOBA 4: IJUMAA-JUMA LA 26 LA MWAKA Fransisko wa AsiziRangi: NyeupeZaburi: Juma IISOMO 1. Ayu 38:1, 12-21, 40:3-5 Ndipo Bwana alimjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema, Je! Umeiamuru asubuhi...
Masomo ya Misa Oktoba 3
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 03/10/2024 2024 OKTOBA 3: ALHAMISI-JUMA LA 26 LA MWAKA Wat. Ndugu Ewaldi, WafiadiniRangi: KijaniZaburi: Juma IISOMO 1. Ayu 19:21-27 Ayubu alisema: “Nihurumieni, nihurumieni, enyi rafiki zangu, kwa maana mkono wa Mungu...
Masomo ya Misa Oktoba 2
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 02/10/2024 2024 OKTOBA 2: JUMATANO-JUMA LA 26 LA MWAKA Malaika WalinziRangi: NyeupeZaburi: Tazama Sala ya SikuSOMO 1. Kut. 23:20-23 au (2. Tim 3: 14-17) Bwana asema hivi: Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako,...
Masomo ya Misa Oktoba 1
Tumsifu Yesu Kristo. Karibu Katika Masomo ya Misa 01/10/2024 2024 OKTOBA 1: JUMANNE-JUMA LA 26 LA MWAKA Mt. Teresia wa Mtoto Yesu, BikiraRangi: NyeupeZaburi: Juma IISOMO 1. Ayu 3:1-3, 11-17, 20-23 Ayubu alifunua kinywa chake, na kuilaani siku yake. Ayubu akajibu, na...
Inayofanana
Tupigie
Address
Kimara Mwisho, Dar es Salaam, Tanzania
clapubafrica01@gmail.com