Mt. Antony Maria Claret (statue)

Sh250,000

Sanamu ndogo ya Mtakatifu Antoni Maria Claret, C.M.F., mwanzilishi na msimamizi wa Shirika la Kimisionari la Moyo Safi wa Maria (Immaculate Heart of Mary), hujulikana zaidi kama Claretians.

Alifariki Tar 24 Octoba, 1870, na kutangazwa mtakatifu tar 7 May, 1950 na Papa Pius XII.

Sherehe yake huazimishwa kila mwaka tarehe 24 Octoba.

  • Height of Statue: 40 cm
  • Free Shipping (in Tanzania)